(Oh, mwanangu... Pole sana)
(Tunaumia sana, Dragon Pomba)
(Safari ni ya wote, pumzika kwa amani) Ram's Pomba, unatuacha tunalia
Familia yako yote, hapa tunaumia
Ulikuwa kijana mwenye upendo mwingi
Sasa umetuacha, moyo wangu mwingi
Bay bay bombeh, safari ni nzito
Tunakumbuka ucheshi, tunakumbuka toto Wende salama, Ram's Pomba mwanangu
Tutaendelea kukuombea kwa Mungu
Ukapumzike mahali peponi
Sisi tunabaki na huzuni moyoni
Bay bay bombeh, bahi bahiiih Dragon Pomba, hatutakusahau daima
Ulikuwa nuru, ulitupa heshima
Kifo ni njia ya kila mwanadamu
Hakuna wa milele, sote ni wa Mungu
Mama yako mkubwa, Fatuma analia
Anasema pumzika kwaamani mahalipemapeponi, usijali familia,
Kaka Alih na bamuloko depe katoto wanasema bay'bay, wende salama Bombeh sujah, dada biyowa,
baba totoh, mohize, petii radja d.j, vye kisola, mamah salama, bifeh Bunguri,
petih adji,
Kijana monoh,
Mangeh,
Zahina, woote wanasema upumzike kwa amani,
Na anfah wako hal"Adji d.j anasema papah bombeh okeih wapi, hal"adji analiya sana kwa uchungu, basi ka'pumzike salama akuna wa milele duniani ila wamilele ni Mungu peke'yake, Ulikuwa na ndoto kubwa moyoni ya kusaidiya familiya ila mola akupenda, tunaliya tunaliya, tunajiuliza bombeh okehi wapi eehe okehi wapi Eehe, wende uka'pumzike kwa amani mungu akulinde mahali peponi, Wende salama, Ram's Pomba mwanangu
Tutaendelea kukuombea kwa Mungu
Ukapumzike mahali peponi
Sisi tunabaki na huzuni moyoni
Bahi bahi bombeh, bahi bahiiih Safari ni yetu sote, tunajua vyema
Tutakutana huko, tutaondoka na hema
Ulikuwa mwanetu, ulitupenda sana
Kumbukumbu zako, hazitapotea kamwe, Baba tako ramoh anasema lala salama,
Badeh mama ramah,
Vie prense,
Sauda,
Petit kamamuh mareze,
Shangah matuta, wanasema mungu akulaze mahali,
Bibi yako fatu anasema mungu akulinde umebaki kumbukumbu ya milele kwake, Pumzika kwa amani, kijana wetu
Tutazidi kukuombea, huko uendako
Bahi bahi bombeh... tutakukumbuka
(Pumzika kwa amani, Ram's)
Staff adey lava boy na bifle jay'b banakutakiya amani amani