(Heavy
drum
beats)
CHANT
Oh
Noel,
Noel
Clarke!
Tunakuita
leo!
Kwa
ngoma
na
nyimbo,
Tukuchapie
densi
kali
ya
mwisho!
Tunakukumbuka
leo,
Mwanaskauti
mwenzetu,
tumesimama
leo,
Kwa
heshima
na
upendo
tunakuaga
leo.
Buriani,
ya
kuonana
leo!
Noel
Clerk,
rafiki
yetu,
Mwanaskauti
mwenzetu,
mwenye
moyo
wa
huruma,
Ulitenda
mema,
ukapanda
mbegu
njema,
Leo
tunalia,
lakini
tunakumbuka
tabasamu
lako.
Mama
mpendwa
wa
Emmanuel
Elly.
Ukaacha
upendo
ndani
ya
familia,
Pamela,
Jastus,
John
Paul
na
De
Klerk,
Wamesimama
sako
kwa
bako,
Wakikumbuka
maisha
na
upendo
wako.
RABUKA,
MLAZE
PEMA
PEPONI!
CHORUS
Noel
Clerk,
Leo
tunachapa
dance
yako,
Kila
aina
ya
Mwanaskauti
yuko,
Wakubwa
kwa
wadogo
wote
wakoShule
YAKO
ya
Migosi,
wako
na
kikali
Kikosi,
Tunasherehekea
maisha
mema
yako.
We
are
celebrating
a
life
well
lived!
Zaneta
analia,
Zyana
naye
pia,
Landiwe
na
Thandiwe
kwa
huzuni
wapo,
Ethan,
Ryan
na
Damian,
kumbukumbu
zao
zipo.
Fidel
na
Feivel,
Hiki
kwao
ni
kichapo.
Binamuye:
Dickson,
Dotty,
na
Kindu,
Seko,
Glado,
na
Linda,
jina
lako
watalilinda.
Sammy,
Jimmy,
na
Billy,
Harriet,
Chris,
moses
na
Ambani,
watakukosa
Sana
nyumbani.
Shemeji
ya:-,
Olga,
Charles,
Winnie
na
Njoki,
umewawacha
Kwa
dhiki.
Alice
Kihungi,
Moses
Danda,
Anthony
Gitonga,
Tunawashukuru
ama
kweli
hili
limetugonga.
Eliud
Wambua,
Daktari
Kuto,
Daktari
Mwenda,
Ni
kweli
Noel
ameenda.
David
Ng'iela,
David
Sai,
Ni
kweli
kama
Noel
hatutawahi.
Victor
Ndolo,
Kimani
Solo,
Mioyo
imebaki
hollow.
Ochieng
Changes,
Charles,
Noel
alileta
mabadiliko.
Apok
Amacar,
Zablon
Onguko,
Ni
mengi
masikitiko.
RABUKA,
MLAZE
PEMA
PEPONI!
Wote:
Yuko
moyoni!
Leader:
Onchari,
Nyaberi,
Makori!
Wote:
Noel
katuponyoka!
Leader:
Nyakuna,
Nyawanda,
Nyanjom!
Wote:
Pengo
hili
kubwa!
Leader:
Chege,
Changes,
Chitu,
Chore!
Wote:
MUNGU
awatie
nguvu!
RABUKA,
MLAZE
PEMA
PEPONI!
Leader:
Alwala,
Waliaula,
Osala,
Walioba,
Shume,
Shava,
Sam,
Sawayo,
Syprose!
Wote:
Makiwa
kwa
familia!
Makori,
Marumbu,
Machanja,
Machoni,
AlFarook,
Aloice,
Agnes,
Kuloba,
Kadibo,
Kondele,
Namwamba,
Zito
limefupata!
Leader:
Tupo
pamoja!
Wote:
Tupo
pamoja!
Leader:
Kumbukumbu
za
Noel?
Wote:
Zitaishi
milele!
RABUKA,
MLAZE
PEMA
PEPONI!
CHORUS
Noel
Clerk,
Leo
tunachapa
dance
yako,
Kila
aina
ya
Mwanaskauti
yuko,
Wakubwa
kwa
wadogo
wote
wako,
Shule
YAKO
ya
Migosi,
wako
na
kikali
Kikosi,
Tunasherehekea
maisha
mema
yako.
We
are
celebrating
a
life
well
lived!
CHORUS
Noel
Clerk,
Leo
tunachapa
dance
yako,
Kila
aina
ya
Mwanaskauti
yuko,
Wakubwa
kwa
wadogo
wote
wako,
Shule
YAKO
ya
Migosi,
wako
na
kikali
Kikosi,
Tunasherehekea
maisha
mema
yako.
We
are
celebrating
a
life
well
lived!
Broderick,
Belinda,
Birgen,
Byron,
Beatrice,
Obiero,
Odindo,
Otiende,
Ominde,
Owuor,
Oduma,
Odero,
Obaga,
Tuko
pamoja
wakati
huu
mgumu.
Joanne,
Johnstone,
Geofrey,
Rexy,
Janet,
John,
Job,
Judy,
Anna,
Aloice,
Alice,
Arwa,
Poleni
kwa
machungu.
Morris
Odindo,
Morris
Uduny,
Morris
Owiti,
Eve
Owiti,
Noel
katuwacha
na
hatihati!
Abdhala,
Angalikah,
Akala,
Edita,
Elias,
Elida,
Eliud,
Edwin,
Daktari
Mwenda,
Sigalagala
lazima
wataenda.
Wekesa,
Wang'ondu,
Wachira,
Weyama,
Waliuba,
Wanyika,
Tumebaki
twaweweseka.
RABUKA,
MLAZE
PEMA
PEPONI!
CHORUS
Noel
Clerk,
Leo
tunachapa
dance
yako,
Kila
aina
ya
Mwanaskauti
yuko,
Wakubwa
kwa
wadogo
wote
wako,
Tunasherehekea
maisha
mema
yako.
We
are
celebrating
a
life
well
lived!
Jimmy,
James,
Judy
Mutisya,
Shouni,
Sheila,
Samson
Lweya,
Kwa
hakika
huu
mlima
twakweya.
Philip
Perikacha,
Poisa,
Phoebe,
Philip
Akumu,
Felix,
Fanice,
Fred
Okumu,
Wanalia
unapoenda
mbele
za
hukumu.
Kiseu,
Kevin,
Kennedy,
Karichiwala,
Maswali
mazito
yametawala,
Inauma
Noel
kuona
daima
umelala,
Tutazidi
kusukuma
na
sala.
Moffat,
Michael,
Maurine,
Mary,
Twajutia
hii
yako
safari.
Belinda,
Beryl,
Boniface,
Ben,
Noel
ameondoka
machoni,
Daima
atabaki
moyoni.
Migosi,
Kisumu
Girls,
M.
M.
Shah,
Poleni
kwa
hili
pigo,
Twajua
kwenu
umekuwa
mzigo.
RABUKA,
MLAZE
PEMA
PEPONI!
RABUKA,
MLAZE
PEMA
PEPONI!
CHORUS
Noel
Clerk,
Leo
tunachapa
dance
yako,
Kila
aina
ya
Mwanaskauti
yuko,
Wakubwa
kwa
wadogo
wote
wako,
Tunasherehekea
maisha
mema
yako.
We
are
celebrating
a
life
well
lived!
Jimmy,
James,
Judy
Mutisya,
Shouni,
Sheila,
Samson
Lweya,
Kwa
hakika
huu
mlima
twakweya.
Philip
Perikacha,
Poisa,
Phoebe,
Philip
Akumu,
Felix,
Fanice,
Fred
Okumu,
Wanalia
unapoenda
mbele
za
hukumu.
Kiseu,
Kevin,
Kennedy,
Karichiwala,
Maswali
mazito
yametawala,
Inauma
Noel
kuona
daima
umelala,
Tutazidi
kusukuma
na
sala.
Moffat,
Michael,
Maurine,
Mary,
Twajutia
hii
yako
safari.
Belinda,
Beryl,
Boniface,
Ben,
Noel
ameondoka
machoni,
Daima
atabaki
moyoni.
Migosi,
Kisumu
Girls,
M.
M.
Shah,
Poleni
kwa
hili
pigo,
Twajua
kwenu
umekuwa
mzigo.
RABUKA,
MLAZE
PEMA
PEPONI!
FINAL
CHORUS —
ALL
Noel
Clerk,
Leo
tunachapa
dance
yako,
Kila
aina
ya
Mwanaskauti
yuko,
Wakubwa
kwa
wadogo
wote
wako,
Tunasherehekea
maisha
mema
yako.
WE
ARE
CELEBRATING
A
LIFE
WELL
LIVED!