Frobits
🎵 A song made on Frobits

Yesu Ni Rafiki Yetu

0:000:00
Download
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

Yesu

kwetu

ni

rafiki

wa

kweli

Kila

tunapoomba,

Yeye

yupo

na

kutujibu

Acha

nikuabudu

Yesu

kwetu

ni

rafiki,

Huambiwa

haja

pia

Tukiomba

kwa

Babaye,

Maombi

asikia

Lakini

twajikosesha,

Twajitweka

vibaya

Kwamba

tulimwomba

Mungu,

Dua

angesikia

Yesu

rafiki

wa

kweli,

Atuskia

kila

saa

Tukiomba

kwa

unyenyekevu,

Baraka

zashuka

sasa

Bwana

yu

karibu

nasi,

Twajivunia

yeye

Yesu

rafiki

wa

kweli,

Atuskia

kila

saa

Una

dhiki

na

maonjo?

Una

mashaka

pia

Haifai

kufa

moyo,

Dua

atasikia

Hakuna

mwingine

mwema,

Wa

kutuhurumia

Atujua

tu

dhaifu,

Maombi

asikia

Yesu

rafiki

wa

kweli,

Atuskia

kila

saa

Tukiomba

kwa

unyenyekevu,

Baraka

zashuka

sasa

Bwana

yu

karibu

nasi,

Twajivunia

yeye

Yesu

rafiki

wa

kweli,

Atuskia

kila

saa

Je,

hunayo

hata

nguvu,

Huwezi

kuendelea

simama

songa

mbele

Ujapodharauliwa,

Ujaporushwa

pia

Watu

wange

kudharau,

wale

Wapendao

dunia

Hukwambata

mikononi,

Dua

atasikia

Yesu

yu

mwema

kwetu,

Daima

anatupenda

Kila

hatua

tunayopiga,

Yeye

anatuongoza

Hatutawahi

kupotea,

Yeye

ni

nuru

yetu

Twakungoja

Yesu

ujapo

mara

ya

tatu

kwa

ajili

ya

unyakuo

Yesu

rafiki

wa

kweli,

Atuskia

kila

saa

Tukiomba

kwa

unyenyekevu,

Baraka

zashuka

sasa

Bwana

yu

karibu

nasi,

Twajivunia

yeye

Yesu

rafiki

wa

kweli,

Atuskia

kila

saa

Tunakungoja

rafiki

yetu

wa

kweli,

tunakungoja

rafiki

yetu

wa

kweli

Yesu

More songs by Mch Listen to songs created by others
FROBITS