Nilikuwa
gizani,
sasa
niko
nuruni
Yesu
ni
mwamba,
ninasimama
na
yeye
Nikikumbuka
maisha
ya
nyuma
nilivopita
Nalia
sana
moyoni
mwangu
nikijikumbusha
Nlilala
njaa,
dunia
ilinipa
Nlipigwa
na
upepo,
nikakosa
hata
pa
kuhemea
yangu
hata
kidogo
Nilichoka
sana,
roho
ilivunjika
Yesu
alinihurumia,
akaninyanyua
Yesu
aliniokoa,
akanipa
uzima
kufa,
nikakata
tamaa
kabisa
Lakini
mkono
wa
Bwana
ukanivuta
kutoka
shimoni
wewe
ni
mkombozi
wangu
Nilitafuta
msaada,
sikutapata
mahali
Kila
mlango
ulifungwa,
machozi
yalitiririka
Nilikuwa
peke
yangu,
Lakini
Yesu
hakuwahi
kuniacha
peke
yangu
Alinipa
nguvu
mpya
ya
kuendelea
Sasa
naimba
sifa,
maana
amebadili
historia
Yesu
alinihurumia,
akaninyanyua
Yesu
aliniokoa,
akanipa
uzima
Nikatamani
kufa,
nikakata
Lakini
mkono
wa
Bwana
ukanivuta
kutoka
Yesu,
wewe
ni
mkombozi
Amen!
(Praise
Sina
hofu
tena
Yesu
yu
hai
ndani
yangu
Ananiongoza
katika
njia
Kweli
wewe
ni
mwema,
kweli
wewe
ni
Baba
Yesu
alinihurumia,
akaninyanyua
Yesu
aliniokoa,
akanipa
uzima
mpya
kufa,
nikakata
Lakini
mkono
wa
Bwana
ukanivuta
kutoka
shimoni
wewe
ni
mkombozi
Yesu!)
(Mungu
ni
mwema!)
Amen,
aminia
kwa
jina
la
Yesu
Sasa
niko
huru,
huru
kabisa!