[female vocals] Asante
Mungu
wetu
kwa
mengi
unayotutendea
sisi
si
wema
sana
bali
ni
neema
yako
imetubeba
umetulinda
na
mabaya
asante
Yehova
hakika
wewe
ni
ebeneza.
Tunakuja
mbele
zako
kwa
moyo
wa
shukrani
tunasema
asante
Yehova.
Umetuvusha
katika
magumu
umetufariji
katika
majonzi
na
huzuni
hapa
tulipo
wewe
ni
ebeneza.
Siyo
kwa
nguvu
yetu
wala
uwezo
wetu.
Waimarishe
wenzetu
wanaopitia
nyakati
ngumu
magonjwa
misiba
hali
ngumu
ya
maisha
wasikuache
wewe
na
wale
wanaofanikiwa
maishani
wasikukufuru
wewe.
Tunakushukuru
sana
Mungu
wetu