Frobits
🎵 A song made on Frobits

Je, U Tayari? (Remix)

Gaudencia · 🇰🇪 Kenya
0:000:00
Download
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[female

vocals] —

JE,

U

TAYARI

Tafakari,

jitazame,

jikague...

U

TAYARI?

Wengi

husema, “

Niko

tayari,

Mimi

ni

wa

Bwana

wangu.”

Wengi

husema, “

Mbingu

ni

yangu,

Nimemwamini

Mwokozi

wangu.”

Lakini

parapanda

itakapolia,

Bwana

Arusi

atakapokuja,

Je,

taa

zetu

zitakuwa

zikiwaka?

Je,

tutakuwa

tayari

siku

ile?

Ee

Yesu,

nichunguze

leo,

Kabla

haijafika

siku

ile. --

Jiadhari

na

moyo

unao

anglia

nyuma.!

Yesu

alitoa

onyo, “

Mkumbukeni

mke

wa

Lutu.”

Aliondoka

Sodoma

nyuma

yake,

Lakini

moyo

wake

ukabaki

huko.

Malaika

wakasema, “

Msitazame

nyuma

njiani.”

Lakini

akageuka

kuitazama

Sodoma,

Akawa

nguzo

ya

chumvi

papo

hapo.

Ee

Bwana,

kuna

nini

nyuma

yangu

Ninachokitamani

bado?

Ni

mali

gani

ya

dunia

Inayoshikilia

moyo

wangu?

Unaponiita

mbele,

Bwana,

Nipe

nguvu

nikutii.

Nisigeuke

nyuma

kamwe,

Unaponiongoza

mbele. ---

KIITIKIO

Maonyo

matatu,

Mkristo,

sikia:

Usitazame

nyuma

kama

mke

wa

Lutu

Taa

iwake,

mafuta

yasikauke

Kristo

yuaja

Tubia

sasa—

Yesu

anakuja!

Usikawie.

Usisahau

Hukumu

inangoja ---

Wanawali

kumi

walimngojea,

Taa

zao

mikononi

mwao.

Wote

walimtarajia

Bwana

Arusi,

Wote

walijua

atakuja.

Watano

walikuwa

wenye

hekima,

Mafuta

wakayachukua

pamoja.

Watano

walikuwa

wapumbavu,

Mafuta

hawakujitayarisha.

Usiku

wa

manane

sauti

ikalia: “

Bwana

Arusi

anakuja!

Tokeni

mkamlaki!”

Wenye

hekima

wakaingia,

Taa

zao

zikiwaka.

Lakini

wale

wapumbavu

wakachelewa,

Mlango

ukafungwa

mbele

yao.

Ee

jitayarishe

Bwana,

nipe

mafuta

ya

taa

yangu,

Imani

yangu

isiwe

ya

maneno

tu.

Nipe

moyo

unaokutafuta,

mara

kwa

mara.

Nipe

maisha

yanayokutukuza

kila

saa ---

KIITIKIO

Maonyo

matatu,

Bwana,

nisikie:

Usitazame

nyuma—

mke

wa

Lutu

nikumbuke.

Taa

iwake,

mafuta

yasikauke.

Tubia

sasa—

Yesu

anakuja!

---Maonyo

matatu,

Bwana,

nisikie:

Usitazame

nyuma—

mke

wa

Lutu

nikumbuke.

Taa

iwake,

mafuta

yasikauke.

Tubia

sasa—

Yesu

anakuja!

TOBA

INAYOCHELEWA

ni

hatari

Mkristo

Kuna

wakati

wa

rehema,

Kuna

wakati

wa

kutubu.

Kuna

wakati

wa

kumtafuta

Mwokozi,

Wakati

mlango

bado

uko

wazi.

Usiseme, “

Kesho

nitatubu,

Kesho

nitamtafuta

Bwana.”

Usingoje

parapanda

ilie

Ndipo

ubadilishe

njia

yako.

Mlango

hautabaki

wazi

milele,

Fursa

haitadumu

daima.

Leo

ukisikia

sauti

yake,

Usiufanye

moyo

wako

mgumu.

Mungu

ndiye

ajuaye

moyo,

Yeye

ndiye

ajuaye

walio

tayari.

Basi

nichunguze,

Yesu

wangu,

Unitakase,

unifanye

mpya,

Unishike

karibu

nawe.

---Maonyo

matatu,

Bwana,

nisikie:

Usitazame

nyuma—

mke

wa

Lutu

nikumbuke.

Taa

iwake,

mafuta

yasikauke.

Tubia

sasa—

Yesu

anakuja!

Siku

moja

parapanda

italia,

Siku

moja

mbingu

zitaita.

Siku

moja

Bwana

Arusi

atakuja,

Na

wakati

wa

kutayarisha

utakuwa

umeisha.

Wengine

watasema, “

Bwana,

nilikuwa

nikikusubiri.”

Wengine

watasema, “

Bwana,

nililijua

jina

lako.”

Lakini

je,

mioyo

yetu

itakuwa

tayari?

Je,

taa

zetu

zitakuwa

zikiwaka?

Nichunguze,

Ee

Bwana,

Nichunguze

leo.

Kama

kuna

jambo

kati

yangu

na

Wewe,

Liondoe

leo. ---

USITAZAME

NYUMA!

TAWALA

TAA

YAKO

IWAKAE!

TUBIA

LEO!

YESU

ANAKUJA—

JIWEKE

TAYARI!

Usitazame

nyuma...

Taa

yako

iendelee

kuwaka...

YESU

ANAKUJA—

JIWEKE

TAYARI!

---Maonyo

matatu,

Bwana,

nisikie:

Usitazame

nyuma—

mke

wa

Lutu

nikumbuke.

Taa

iwake,

mafuta

yasikauke.

Tubia

sasa—

Yesu

anakuja!

Yesu,

niweke

mwaminifu,

Uilinde

moyo

wangu

macho.

Utakapokuja

kwa

watu

wako,

Usinikute

nimelala.

Usinifanye

kama

mke

wa

Lutu,

Nikiutazama

ulimwengu

nyuma.

Usiniache

bila

mafuta,

Bwana

Arusi

atakapokuja.

Leo

nakuchagua

Wewe.

Yesu,

utakaporudi,

Nipate

nikiwa

tayari.

Nipate

nikiwa

tayari.

Nipate

nikiwa

tayari.

Amina.

More songs by Gaudencia Listen to songs created by others
FROBITS