[female vocals] Tuna
sherehekea
siku
nzuri
siku
ya
kumweka
wakfu
mtoto
IBRAHIM
SIMION
wewe
NI
Baraka
Kwa
familia,
umati
uliokusanyika
unashangilia
Nifuraha,
shangwe
na
bashasha
haya
Leo
TUFIRAHIE
pamoja
Kwa
Baraka
zake
Mungu
kutuletea
mtoto
IBRAHIM
SIMION.
Pokea
shukrani
ewe
mwenyezi
Mungu
Kwa
Baraka
hii
Acha
jina
lako
liinuliwe
milele
Tunakuomba
Bwana
umulinde
kijana
wako
kibaraka
wako
amen
Utusaidie
Bwana
kumlea
Ibrahim
katika
njia
impasayo
ili
asiyasahau
mausia
yako
halleluyah
ameen