[male vocals] Tangu
nilipokukabidhi
maisha
yangu
hata
nilikuwa
nao
walinitenga,
kwa
nini
nimekuchagua
Yesu
walihitaji
nifuate
mambo
ya
dunia,
sikutishika
sikuyumbishwa,
maana
nimechagua
sehemu
sahihi,
wanisimange
na
waniseme
mimi
nimesimama
kwako
nimetia
nanga *2.
Ninakuhitaji
Bwana
wangu
niuone
mkono
wako
siku
zote,
Japo
mambo
mengi
yatusonga
ninaamini
nikiwa
nawe
nitashinda
BWANA ,
Japo
majaribu
ni
mengi
katika
dunia
hii
ya
dhambi,
Wala
sitishwi
na
chochote
maana
wee
umesimama
kwa
ajili
yangu*2
Ukimkabidhi
BWANA
maisha
yako
ayatawale
akufanye
kiumbe
kipya,
hata
shetani
akikusonga
usihofu
maana
tunaye
Simba
wa
Yuda,
usiogope
isitishike
maana
YESU
yu
pamoja
nawewe
daima
hata
mawimbi
yawe
makali
wewe
simama
kwake
atakushindia*2
Ninakuhitaji
Bwana
wangu
niuone
mkono
wako
siku
zote,
Japo
mambo
mengi
yatusonga
ninaamini
nikiwa
nawe
nitashinda
BWANA ,
Japo
majaribu
ni
mengi
katika
dunia
hii
ya
dhambi,
Wala
sitishwi
na
chochote
maana
wee
umesimama
kwa
ajili
yangu*2