[male vocals] Jackie
wa
Baraka....
jina
zuri
la
Baraka.
Ni
baraka
kuwa
na
Baraka.
Leo
nakupa
maneno
yangu
mpenzi...
Muogope
Mungu,
Watii
wazazi
na
wakubwa
wako...
msikilize,
mtii
na
umpende
Mumeo.
Kuna
muda
shetani
huharibu
sifa
ya
sisi
binadamu
ili
Kujipatia
wafuasi
katika
Jehanamu
ya
Moto...
Usikubali
kilema
kimoja
kitutenge....
hatua
zako
Kila
siku
shika
neno
hili
kuwa
Mungu
ana
nguvu
kuzidi
shetani.
Udhaifu
wetu
usitufanye
tukose
Baraka
za
Mungu
Jackie
wajua
ninavyopambana
kwa
ajili
Yako
na
wanangu
wapendwa.
Rudisha
heshima
na
wajibika
kama
mke
mwema...
utii
uwe
wako
daima.
Nimekusamehe
mke
wangu
mpenzi...