[female vocals] Nakukumbuka
mama
miaka
mingi
imepita
toka
umeniacha
laura
sengunda,
Miaka
mingi
imepita
umeniacha
mama
ila
nabaki
kukuombea
mungu
aendelee
kukulaza
mahala
pema
peponi
Watoto
wako
tunalia,
wajukuu
wanalia,
vitukuu
vinalia
familia
inalia,
weru
inalia,
kibebe
inalia
endelea
kupumzika
kwa
amani
Miaka
arobaini
na
tano
imepita
ulizimika
kama
mshumaa
ila
bado
moyoni
mwetu
unaendelea
kuishi,
mema
yako
na
mazur
yako
tutayaenz
ukarimu
wako
haujasahaulika,
ndugu
zako
wanalia,
watoto
wako
wanalia
Msalimie
baba,
msalimie
babu
na
bibi
msalimie.
panguwinga
msalimie
mwangonela,
msalimia
davidika
msalimie
kimelo