[male
vocals] 1.
Tunapoelekea
September 2027
kama
sauti
moja
wenye
ujumbe
wa
matumaini
ya
marejeo
ya
Bwana
wetu
Yesu
Kristo,
ambapo
mambo
yote
ya
kwanza
yanayo
tuumiza
yatapita,
mpendwa
mwenzangu
unawezaje
kutulia
ikiwa
Bwana
amekupa
agizo,
hebu
jitokeze
uambie
ulimwengu
kwa
njia
zote
za
injili,
Mambo
yote
mapya,
tumaini
linaanzia
hapa.
Ni
hakika
Yesu
anakuja
tena
na
anatutaka
tuzae
matunda
na
matunda
hayo
yapate
kukaa,
hivyo
kila
mshiriki
wa
kanisa
kama
sauti
moja,
tupeleke
ujumbe
wa
matumaini
kwa
kila
tunayeweza
kumfikia
kidigitali
na
baadae
kuendelea
kujifunza
nao
maandiko
matakatifu
kupitia
masomo
ya
Sauti
ya
unabii
ambayo
daima
yamekuwa
mbaraka
kwa
wengi
walipo
yasoma.
Bei
ni
elfu
tatu
na
cheti
chake
ni
elfu
moja
tu. 2.
Ndio
maana
Mkurugenzi
wa
Sauti
ya
Unabii
katika
Yunioni
ya
Kusini
mwa
Tanzania –
Mchungaji
Elton
Mvanga
anatoa
wito
kwa
kila
mshiriki
wa
kanisa
nchini,
kusomesha
walau
mwanafunzi
mmoja
na
kuendelea.
Masomo
hayo
yanapatikana
kwa
urahisi
katika
maduka
yetu
ya
ABC
kwa
upande
wa
Kusini
mwa
Tanzania
na
upande
wa
Kaskazini
wasilianeni
moja
kwa
moja
na
Mchungaji
Elton
Mvanga,
kwa
huduma
ya
haraka.
Mambo
yote
Mapya,
tumaini
linaanzia
hapa.
Yesu
anakuja
tena
na
anatutaka
tuzae
matunda
na
matunda
hayo
yapate
kukaa,
hivyo
kila
mshiriki
wa
kanisa
kama
sauti
moja,
peleka
ujumbe
wa
matumaini
kwa
kila
unayeweza
kumfikia
kidigitali
na
baadae
endelea
kujifunza
naye
maandiko
matakatifu
kupitia
masomo
ya
Sauti
ya
unabii
ambayo
daima
yamewabariki
wengi
walipo
yasoma.
Bei
ni
elfu
tatu
na
cheti
chake
ni
elfu
moja
tu.
Mambo
yote
mapya,
tumaini
linaanzia
hapa.