Frobits
🎵 A song made on Frobits

Malieta Tulizo la Moyo (Remix)

fridaymwach7 · 🇹🇿 Tanzania
0:000:00
Download
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[male vocals] Nimezunguka

huku

na

kule,

sijamuona

kama

wewe

Malieta,

tulizo

la

moyo

wangu

msiri

wangu,

nakupenda

sana,

tushikamane

ili

tulee

watoto

wetu

Alvin

na

Yuliel,

tumevuka

shida

nyingi,

sio

wote

wanapenda

kutuona

tupo

pamoja ,

epuka

marafiki

wengi

ni

wanafiki

na

sio

kila

tabasam

linamaanisha

furaha

mumeo

Brasius

Cleophas

nakukumbusha

c

kila

anaekuchekea

anakupenda,

tulinde

afya

zetu

ndiyo

jambo

la

msingi

ili

watoto

wetu

wapate

malezi

bora

hii

ni

zawadi

yangu

kwako

nakupenda

sana

More songs by fridaymwach7 Listen to songs created by others
FROBITS