[male vocals] Oh,
Bombeh
Ram's,
leo
tunakuimbia
Safari
ni
njia
yetu
sote,
pumzika
kwa
amani
Bombeh
Ram's,
rafiki
wa
kweli
kazini
Ulikuwa
mchapakazi,
taa
yetu
jikoni
Mashiniste
tunalia,
moyo
unavuja
damu
Kifo
kimefika
ghafla,
kimeacha
huzuni
na
hamu
Haikuwa
rahisi
kuamini
taarifa
ile
nzito
Kazi
bila
wewe,
imekuwa
kama
ndoto
Tunakumbuka
ucheshi,
tunakumbuka
gisi
ba
fundi
balikwa
natuamusha
pomba
wende
mushimu
ukapike
tekoh
ulikuwa
naenda
bila
shida
nakusema
bifle
jay'b
utatuma
wakunikombola
asubui
bifle
akasema
sawa
ikafika
muda
asubi
sony
poto
anasema
naendakumukombola
pomba
ikawa
fundisho
kwa
wengine
ikafika
magaribi
emedi
na
zombi
wanajipanga
kwa
kufanya
kazi,
piya
ile
siku
tulikuwa
munyumba
ya
metre
lebon
mashini
foka'foka
mukubwa
ivori
ikikwambiya
chonjo
maramoya
inatabasamu
nakucheza,
lakini
aya
yote'yamebaki
ni
historia
tu
rafiki
yetu,
ule
moyo
wa
uvumilivu
Ulikuwa
naho
ivi
inabaki
kumbukumbu
zako,
safari
inatesa
watu
wengi
sana
pomba ,
Bombeh
Ram's,
safari
yako
imekamilika
Umetangulia
mbele,
hatuna
la
kuamua
bila
hakika
Tunakuombea
mapumziko,
utulivu
wa
milele
Mungu
ameshaamua,
hakuna
budi
kusema
mbele
Ulikua
mhimili,
katika
kila
zamu
ya
kazi
Kila
tulipokuwa
nawe,
ulikuwa
chanzo
cha
mapenzi
nakutwambiya
wenzangu
wedah
aitoshe
maji
tufanye'je
Sasa
ni
historia,
tunanung'unika
kwa
huzuni
Tunakukumbuka
sana,
ukiwa
mahali
pako
mbinguni
Hatuna
mengi
ya
kusema,
maana
mapenzi
yake
Mungu
Yana
siri
nzito,
tunabaki
na
huu
uzito
wa
mgongo,
Bombeh
Ram's
Pomba,
safari
yako
imekamilika
Umetangulia
mbele,
hatuna
la
kuamua
bila
hakika
Tunakuombea
mapumziko,
utulivu
wa
milele
Mungu
ameshaamua,
hakuna
budi
kusema
mbele
Uwasalimie
walio
kutangulia
D.
G
wetu
mzee
Lumumba
Na
P.
D.
G
Henry
Stock,
katika
ile
nyumba
Kumbatianeni
kule,
mkiwa
na
amani
ya
kweli
Sisi
huku
duniani,
tunawapa
heshima
za
milele
Ivi
kiongozi
wetu
dep's
debaba
maweda
na
mukubwa
saleh
pamoja
na
mukubwa
ivori
wanasema
mungu
akulinde
maali
ulipo,
Mashiniste
wote,
tunakumbuka
ulivyotufunza
Uvumilivu
na
bidii,
ndivyo
ulivyotuongoza
Hatutasahau
hata
kidogo,
ulichotuachia
Urembo
wa
kazi
yako,
tutazidi
kuuenzi
kila
siku
ya
kuingia
Bombeh
Ram,
safari
yako
imekamilika
Umetangulia
mbele,
hatuna
la
kuamua
bila
hakika
Tunakuombea
mapumziko,
utulivu
wa
milele
Mungu
ameshaamua,
hakuna
budi
kusema
mbele
Twenty
jenome.
Useni
stegene
demon
amisi
fidele.
Manu
baba
bifle
gaïdi
bozi
boziana
nawa
Mashiniste
woooote
wanasema
mungu
akulinde
maali
ulipo
mwenzetu
Lala
salama
Bombeh
Ram's
Tutaonana
tena,
pumzika
kwa
amani
Salimianm
d.
g
Lumumba,
salimia
na
p.
d.
g
Henry
Stock
Maisha
ni
safari,
sote
tunakuja. (
Rrr!
Pumzika,
rafiki)
kode
pika'tekoh ,.