[male vocals] Eagle
Coy
timu
nzuri
na
mfano
wa
kuigwa
na
Coy
zote...
wanasema
sisi
ni
wazee
lakini
tunawanyoosha
maGenZ,
hakuna
matata
ushindi
tunao
na
tunatamba
nao.
Kushinda
ni
kawaida
yetu.
Kilicho
baki
ni
kupewa
pass
ya
kulala.
Meneja
Nyamonge,
namba 1
kuna
Seif,
namba 2
kuna
Nova,
wapi
veteran
Busumabu,
Shetani,
Fundi
wa
mpira
Nadoo.
Haya
sasa
fainali
ni
yetu
na
hakuna
wakutuweza.
Eagle
Coy
namba
moja
Kalunde
TC
afande
tupe
pass
ya
kulala
Eagle
Coy
hakuna
matata.
Kalunde
kuna
rahaaaaa
ikiwepo
Eagle
Coyyy..
Haya
tucheze
wote
shangwe
kwa
Eagle
Coy.
Mpira
tunakichapa,
Netball
tunakichapa,
volleyball
tunakichapa.
Hata
wewe
ukishangaa
tunakuchapa.