[male vocals] Eagle
Coy
timu
nzuri
na
mfano
wa
kuigwa
na
Coy
zote...
wanasema
sisi
ni
wazee
lakini
tunawanyoosha
ma
GenZ,
Hawatuwezi
hata
kwa
uchawi,
Sisi
Eagle
Coy
hakuna
matata.
ushindi
tunao
na
tunatamba
nao.
Kushinda
ni
kawaida
yetu.
Kilicho
baki
ni
kupewa
pass
ya
kulala.
Meneja
Nyamonge,
Kocha
Nyahiiri.
namba 1,
Seif,
namba 2
Nova,
wapi
veteran
Busuumabu,
Shekihiyo
Shetani,
Sierra
golf
tango
Alex,
Kawambwa,
Side
Mtumwa,
wapiii
Kimwaga,
papaaa
Kulimwaga,
wapi
Zanzibar
Finest
Idrisa
Nadoo.
OC
anawafurahiaaaa,
Sameja
anawafurahiaaaa,
Platuni
kamanda
anawafurahiaaaaa
Haya
sasa
fainali
ni
yetu
na
tunatamba
nayo.
Hakuna
cha
kufanya
kwa
Eagle
Coy
wa
demo
namba
moja
Kalunde
TC.
Kilichobakii
afande
tunaaomba
pass
ya
kulalaaaa,
nasema
kilichobakiii
afande
tunaomba
pass
ya
kulalaaaa.
Eagle
Coy
hakuna
matata.
Kalunde
kuna
rahaaaaa
ikiwepo
Eagle
Coyyy..
Haya
tucheze
wote
shangwe
kwa
Eagle
Coy.
Mpira
tunakichapa,
Netball
tunakichapa,
volleyball
tunakichapa.
Hata
wewe
ukishangaa
tunakuchapa.
Haya
cheza
sasa
na
Eagle
Coyyy
Ruka
wote
na
Eagle
Coyyyy.
MTM
chezaaaa
na
Eagle
Coy..
Chidumule
kwa
morali.