Eeh
baba,
ni
wewe
tena
ho'z
the
dj
on
the
beat (
Ho'z
the
DJ
on
the
beat,
eeh)
Nakumbuka
ukiwa
darasa
la
saba
Ulikuwa
mrembo,
kila
mtu
anakuangalia
Macho
yako
kama
nyota
za
usiku
Nikajisemea,
huyu
ndiye
malkia
wangu
Nilikuwa
nikikufuata
ukitoka
shule
Nikiwa
na
woga,
nikishindwa
kukuambia
Ila
moyo
wangu
ulishakuchagua
Binti
mzuri,
ulikuwa
unaniteka
akili
Nakupenda
tangu
zamani,
binti
mzuri
Tangu
darasa
la
saba,
uliniteka
moyo
Sasa
tuko
wakubwa,
upendo
umekua
Nakupa
ahadi,
sitakuacha
kamwe
Safi
sana,
wewe
ni
wangu
wa
milele
Nakupenda
sana,
malkia
wangu
wa
moyo
Miaka
imepita,
sasa
tuko
hapa
Urembo
wako
bado
unanifanya
nijisikie
Kila
nikikuona,
dunia
inasimama
Kama
vile
ndoto
iliyotimia
kweli
Jina
lako
linapendeza
kila
mahali
Asante
kwa
kunikubali,
mpenzi
wangu
kwandu
Upendo
wetu
ni
kama
ngoma
inayosikika
Alenulu
bhakolwe
abhanike,
bhiyo
bhalehalali
Nulubhasaye
abhanike ,
bhalehalali
Ubhalebhije
bhinge
mama,
obhakalaja
ubhusogha
bwako
Ubhalebhije
bhinge
mama,
obhakalaja
eshepu
yako
Angubhabhonile
nagutogilwe
baby,
nabhandya
vijembe
Eti
usitoke
naehuyo,
tunamujua
kiwembe
Wanafiki
nikiwa
nao,
wanajifanya
wapambe
Nami
hapa
nimeshafika,
sikuachi
kizembe
Yani
kila
kukicha
wao,
ni
kula
njama
Wanasahau
kuwa
mwenye
kisu
kikali
ndo
mulanyama
Tunavyopendana
hadharani,
najua
inawachoma
Ndo
kwanza
penzi
limeshika
kasi,
hatupangi
kusimama
Ooooh
mababy
mababy,
naghotogilwe
omumoyo
Unipe
mimitu
wengine,
wakuone
muchoyo
My
sweet
chocolate
ooooh ,
nakupenda
wakumoyo
Unipe
mimitu
wengine,
wakuone
muchoyo
Natulile
ghanyuzi,
mayu
wala
siyo
zeze
Ghalyembo
kasogha,
ng'wanike
naghubembeleze
Natulile
ghanyuzi,
mayu
wala
siyo
zeze
Ghalyembo
kasogha,
ng'wanike
naghubembeleze
Ubhusogha
bhoko
ng'wanike
munanyanguge
Hakika
wewe
ni
mzuri,
acha
tu
nikueleze
Nenumungu
kemba
akighesha,
sana
ughubhumba
Esura
na
shepu,
enuma
yaya
kuyomba
Unavyojuaga
kuvaa,
wanasemaga
eti
unalinga
Wakati
mtoto
ni
kifaa,
we
ni
mzuri
hata
ukifunga
kanga
Siwezi
kuelezea
furaha
niliyo
nayo
Kuwa
na
wewe,
ni
baraka
toka
juu
Mambo
vipi,
mpenzi
wangu
wa
dhati
Utabaki
kuwa
wangu,
hadi
mwisho
wa
dunia
Nakupenda
tangu
zamani,
binti
mzuri
Tangu
darasa
la
saba,
uliniteka
moyo
Sasa
tuko
wakubwa,
upendo
umekua
Nakupa
ahadi,
sitakuacha
kamwe
Safi
sana,
wewe
ni
wangu
wa
milele
Nakupenda
sana,
malkia
wangu
wa
moyo
Eeh
baba,
ni
wewe
tena
ho'z
the
dj
on
the
beat
Bongo
flava,
mahaba
ni
moto
Nakupenda,
mrembo
wangu
kwandu
Twende,
twende
pamoja,
kwenye
maisha
ya
mapenzi