Frobits
🎵 A song made on Frobits

Msaada Wangu Katika Bwana

Richard Peter Masanja · 🇹🇿 Tanzania
0:000:00
Download Remix
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[female vocals] Natazama

juu

milimani

msaada

wangu

utatoka

wapi,

msaada

wangu

u

katika

bwana

aliyezifanya

Mbingu

na

Nchi.

Wamtumainio

bwana

ni

kama

mlima

sayuni

hawatatikisika

milele

heri

mtu

ambaye

bwana

ni

Mungu

wake

amebarikiwa

mtu

yule

anaye

mtegemea

bwana

moyoni

mwake

hataona

hofu

kabisa.

Ndugu

yangu

bwana

ndiye

ngome

yetu

na

msaada

upatikanao

wakati

wa

shida

na

mateso.

Najua

unapitia

katika

magumu

mazito

pengine

unavunjika

moyo

yawezekana

hujamuita

bwana

kwa

Imani

Mungu

wetu

yupo

hajalala

hajasinzia

wala

hajasafiri

au

kwenda

likizo

alitenda

anatenda

atatenda

muite

sasa

katika

maombi

kwa

imani.

More songs by Richard Listen to songs created by others
FROBITS