[male vocals] Salaam
baba
na
mama,
nazituma
Kwa
furaha,
bila
shaka
zitafika,
mfurahii
nyotee
bila
manunguniko
wazee wangux2
corus,
Salaam
baba
na
mama,
nazituma
Kwa
furaha,
bila
shaka
zitafika,
mfurahii
nyotee
bila
manunguniko
wazee
wangu,
Wazazi
Nina
furaha
sana
kuwakumbuka
nyiee,
Wala
msiwe
na
shaka
juu
yangu
miyee,
Mimi
nawaombea
heri
na
baraka
nyotee,
Nisalimieni
wakiwoso
woetee,(
Chinga
one
onlinetii,
ninafuraha
sana
kuwakumbuka
nyieee x2