Frobits
🎵 A song made on Frobits

Baraka kwa Kwaya ya Watoto

Makonyola F. · 🇹🇿 Tanzania
0:000:00
Download
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[female vocals] Watoto

wa

KKKT

IHOWANZA

tunawapongeza

kwenye

sikukuu

yenu.

Mmekuwa

na

kwaya

nzuri

inayoburudisha

na

kuhubiri

Kwa

njia

ya

uimbaji.

Katika

mazingira

ya

Aina

zote

mmepambana

kuhakikisha

kwaya

yenu

inaendelea.

Tunawapongeza

pia

walimu

wenu,

Mzee

Makonyola

na

Kaka

Saudi.

Mungu

aendelee

kuwabariki.

Tunawasihi

endeleeni

kumtegemea

Mungu,

naye

hatawapungukia.

Baraka

zake

mtaendelea

kuziona.

Wazazi

na

Walezi

tunawapongeza

pia.

mmewaruhusu

watoto

kuidumisha

kwaya

yao.

Lakini

pia

mmekuwa

mkiwawezesha

Kwa

sare

na

mahitaji

mengine.

Mzee

Chaula

hongera

Kwa

kuwajali

watoto.

Umekua

ukijitolea

kuwasafirisha

watoto

wafanyapo

ziara.

Washarika

wote

wa

Ihowanza

twawapongeza.

Mungu

azidi

kuwabariki!

Amen

More songs by Makonyola Listen to songs created by others
FROBITS